Walawi 4:9 BHN

9 figo mbili na mafuta yaliyo juu yake na yale yaliyo kiunoni, na yale yaliyoshikamana na figo na ini; hizi ni sehemu zilezile zinazoondolewa kwa mnyama wa sadaka ya amani.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:9 katika mazingira