Walawi 5:1 BHN

1 “Kama mtu yeyote akitakiwa kutoa ushahidi kwenye baraza juu ya jambo aliloona au kulisikia naye akakataa kusema kitu, basi, huo ni uovu na atauwajibikia.

Kusoma sura kamili Walawi 5

Mtazamo Walawi 5:1 katika mazingira