Walawi 5:3 BHN

3 Au mtu akigusa chochote kilicho najisi cha binadamu, kiwe kiwacho, ambacho humfanya mtu kuwa najisi, naye hana habari, basi, atakapojua atakuwa na hatia.

Kusoma sura kamili Walawi 5

Mtazamo Walawi 5:3 katika mazingira