Walawi 6:2 BHN

2 “Ikiwa mtu yeyote ametenda dhambi na kumwasi Mwenyezi-Mungu kwa kumdanganya jirani yake juu ya amana au dhamana aliyowekewa, au kumnyanganya au amemdhulumu mwenzake,

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:2 katika mazingira