Walawi 6:6 BHN

6 Kisha atamletea kuhani kondoo dume au mbuzi dume asiye na dosari amtolee Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuondoa hatia; thamani ya mnyama huyo itakuwa ile ya kawaida ya kuondoa hatia.

Kusoma sura kamili Walawi 6

Mtazamo Walawi 6:6 katika mazingira