Walawi 8:11 BHN

11 Alinyunyiza sehemu ya mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba, akaipaka mafuta na vyombo vyake vyote, birika na tako lake, kuviweka wakfu.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:11 katika mazingira