Walawi 8:17 BHN

17 Lakini nyama ya ng'ombe huyo, ngozi yake na mavi yake, akaviteketeza kwa moto nje ya kambi kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:17 katika mazingira