Walawi 8:26 BHN

26 Kisha, kwenye kile kikapu cha mikate iliyowekwa mbele ya Mwenyezi-Mungu akatoa mkate mmoja usiotiwa chachu, mkate mmoja wenye mafuta na mkate mmoja mdogo, akaviweka vyote juu ya vipande vya mafuta na ule mguu.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:26 katika mazingira