Walawi 8:33 BHN

33 Hamtatoka nje ya mlango wa hema la mkutano kwa muda wote wa siku saba, yaani mpaka muda wenu wa kuwekwa wakfu umekwisha, muda ambao utachukua siku saba.

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:33 katika mazingira