Walawi 8:35 BHN

35 Mtabaki mlangoni mwa hema la mkutano usiku na mchana kwa muda wa siku saba, mkifanya mambo aliyoamuru Mwenyezi-Mungu, la sivyo mtakufa. Ndivyo nilivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Walawi 8

Mtazamo Walawi 8:35 katika mazingira