9 Halafu akamvika Aroni kilemba na upande wa mbele wa kilemba hicho akaweka pambo la dhahabu, taji takatifu, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Kusoma sura kamili Walawi 8
Mtazamo Walawi 8:9 katika mazingira