Walawi 9:15 BHN

15 Kisha, Aroni akaweka mbele sadaka ya watu. Alimchukua mbuzi wa sadaka ya watu ya kuondoa dhambi, akamchinja na kumtoa sadaka ya kuondoa dhambi, kama alivyofanya kwa yule wa kwanza.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:15 katika mazingira