18 Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote.
Kusoma sura kamili Walawi 9
Mtazamo Walawi 9:18 katika mazingira