Walawi 9:2 BHN

2 Mose akamwambia Aroni, “Chukua ndama dume kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; wanyama wote wasiwe na dosari. Kisha watoe sadaka mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 9

Mtazamo Walawi 9:2 katika mazingira