9 Wanawe wakamletea damu, naye akachovya kidole chake katika damu hiyo na kuzipaka pembe za madhabahu. Damu iliyosalia akaimwaga kwenye tako la madhabahu.
Kusoma sura kamili Walawi 9
Mtazamo Walawi 9:9 katika mazingira