Zekaria 11:17 BHN

17 “Ole wake mchungaji mbaya,ambaye anawaacha kondoo wake!Upanga na uukate mkono wake,na jicho lake la kulia na ling'olewe!Mkono wake na udhoofike,jicho lake la kulia na lipofuke.”

Kusoma sura kamili Zekaria 11

Mtazamo Zekaria 11:17 katika mazingira