Zekaria 12:1 BHN

1 Neno la Mwenyezi-Mungu kuhusu Israeli. Mwenyezi-Mungu aliyezitandaza mbingu, aliyeiweka misingi ya dunia na kumpa mwanadamu uhai asema hivi:

Kusoma sura kamili Zekaria 12

Mtazamo Zekaria 12:1 katika mazingira