Zekaria 8:16 BHN

16 Hivi ndivyo mnavyopaswa kufanya: Kila mmoja wenu na amwambie mwenzake ukweli. Mahakama yenu daima na yatoe hukumu za haki ziletazo amani.

Kusoma sura kamili Zekaria 8

Mtazamo Zekaria 8:16 katika mazingira