2 Fal. 1:17 SUV

17 Basi akafa, sawasawa na neno la BWANA alilolinena Eliya. Na Yoramu alianza kutawala mahali pake katika mwaka wa pili wa Yehoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda; kwa kuwa yeye hakuwa na mwana.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 1

Mtazamo 2 Fal. 1:17 katika mazingira