2 Fal. 10:11 SUV

11 Hivyo Yehu akawapiga wote waliosalia wa nyumba ya Ahabu katika Yezreeli, na hao wakuu wake wote, na rafiki zake, na makuhani wake, hata hakumwachia aliyesalia hata mmoja.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:11 katika mazingira