2 Fal. 10:10 SUV

10 Jueni basi ya kwamba halianguki chini lo lote la neno la BWANA, alilolinena BWANA juu ya nyumba ya Ahabu; kwa maana BWANA ameyafanya hayo aliyoyanena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:10 katika mazingira