9 Ikawa asubuhi, akatoka, akasimama, akawaambia watu wote, Ninyi ni wenye haki; tazameni, mimi nalifanya fitina juu ya bwana wangu, nikamwua; ila ni nani aliyewapiga hawa wote?
Kusoma sura kamili 2 Fal. 10
Mtazamo 2 Fal. 10:9 katika mazingira