8 Akaja mjumbe, akamwambia, akasema, Wamevileta vile vichwa vya wana wa mfalme. Akasema, Viwekeni chungu mbili penye maingilio ya lango hata asubuhi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 10
Mtazamo 2 Fal. 10:8 katika mazingira