7 Ikawa, barua ilipowawasilia, waliwatwaa hao wana wa mfalme, wakawaua, watu sabini, wakatia vichwa vyao katika makapu, wakampelekea huko Yezreeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 10
Mtazamo 2 Fal. 10:7 katika mazingira