2 Fal. 10:23 SUV

23 Akaingia Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu nyumbani mwa Baali, akawaambia waliomwabudu Baali, Tafuteni mkaangalie, asiwepo hapa pamoja nanyi mtu amtumikiaye BWANA, ila wamwabuduo Baali peke yao.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:23 katika mazingira