2 Fal. 11:12 SUV

12 Ndipo akamleta nje mwana wa mfalme, akamvika taji, na kumpa ushuhuda; wakamfanya mfalme, wakamtia mafuta; wakapiga makofi, wakasema, mfalme na aishi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 11

Mtazamo 2 Fal. 11:12 katika mazingira