2 Fal. 11:11 SUV

11 Walinzi wakasimama, kila mtu na silaha zake mkononi, kutoka pembe ya kuume ya nyumba mpaka pembe ya kushoto ya nyumba, kando ya madhabahu na nyumba, wakimzunguka mfalme pande zote.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 11

Mtazamo 2 Fal. 11:11 katika mazingira