2 Fal. 11:10 SUV

10 Naye yule kuhani akawapa wakuu wa mamia mikuki na ngao zilizokuwa za mfalme Daudi, zilizokuwamo nyumbani mwa BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 11

Mtazamo 2 Fal. 11:10 katika mazingira