2 Fal. 11:9 SUV

9 Nao wakuu wa mamia wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia sabato, nao watakaotoka sabato, wakaja kwa Yehoyada kuhani.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 11

Mtazamo 2 Fal. 11:9 katika mazingira