8 Mtamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye ndani ya safu auawe; mkafuatane na mfalme, akitoka na akiingia.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 11
Mtazamo 2 Fal. 11:8 katika mazingira