2 Fal. 11:14 SUV

14 akatazama, na tazama, mfalme amesimama karibu na nguzo kama ilivyokuwa desturi, nao wakuu na wapiga baragumu karibu na mfalme; na watu wote wa nchi wakafurahi, wakapiga baragumu. Ndipo Athalia akararua mavazi yake, akalia, Fitina! Fitina!

Kusoma sura kamili 2 Fal. 11

Mtazamo 2 Fal. 11:14 katika mazingira