10 Ikawa, walipoona ya kuwa fedha nyingi imo kashani, karani wa mfalme akapanda na kuhani mkuu, wakaifunga mifukoni, wakaihesabu fedha iliyoonekana nyumbani mwa BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 12
Mtazamo 2 Fal. 12:10 katika mazingira