2 Fal. 12:11 SUV

11 Na fedha iliyopimwa wakawapa mikononi wale waliofanya kazi, walioisimamia nyumba ya BWANA; na hao wakawatolea maseremala na wajenzi walioifanya kazi katika nyumba ya BWANA,

Kusoma sura kamili 2 Fal. 12

Mtazamo 2 Fal. 12:11 katika mazingira