2 Fal. 12:21 SUV

21 Kwa maana Yozakari mwana wa Shimeathi, na Yehozabadi mwana wa Shomeri, watumishi wake, wakampiga, naye akafa; wakamzika pamoja na babaze mjini mwa Daudi. Na Amazia mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 12

Mtazamo 2 Fal. 12:21 katika mazingira