1 Katika mwaka wa ishirini na tatu wa Yoashi mwana wa Ahazia, mfalme wa Yuda, Yehoahazi mwana wa Yehu alianza kutawala juu ya Israeli katika Samaria; akatawala miaka kumi na saba.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 13
Mtazamo 2 Fal. 13:1 katika mazingira