2 Fal. 13:2 SUV

2 Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, akayafuata makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli; wala hakuyaacha.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 13

Mtazamo 2 Fal. 13:2 katika mazingira