16 Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 13
Mtazamo 2 Fal. 13:16 katika mazingira