4 Naye Yehoahazi akamsihi BWANA, BWANA akamsikiliza; kwa kuwa aliyaona mateso ya Israeli, jinsi mfalme wa Shamu alivyowatesa.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 13
Mtazamo 2 Fal. 13:4 katika mazingira