10 Kweli umepiga Edomu, na moyo wako umekutukuza; ujisifu basi, ukae nyumbani mwako. Mbona unataka kujitia bure katika madhara, hata uanguke, wewe na Yuda pamoja nawe?
Kusoma sura kamili 2 Fal. 14
Mtazamo 2 Fal. 14:10 katika mazingira