11 Lakini Amazia hakutaka kusikia. Basi Yehoashi mfalme wa Israeli akakwea; wakatazamana uso kwa uso, yeye na Amazia mfalme wa Yuda, huko Beth-shemeshi ulio wa Yuda.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 14
Mtazamo 2 Fal. 14:11 katika mazingira