23 Katika mwaka wa kumi na tano wa Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda Yeroboamu mwana wa Yehoashi mfalme wa Israeli alianza kutawala katika Samaria; akatawala miaka arobaini na mmoja.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 14
Mtazamo 2 Fal. 14:23 katika mazingira