24 Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA; wala hakuyaacha makosa yote ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 14
Mtazamo 2 Fal. 14:24 katika mazingira