19 Akaja Pulu mfalme wa Ashuru juu ya nchi; naye Menahemu akampa Pulu talanta elfu za fedha, ili kwamba mkono wake uwe pamoja naye, na ufalme uwe imara mkononi mwake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:19 katika mazingira