2 Fal. 15:20 SUV

20 Na Menahemu akawatoza Israeli fedha hiyo, yaani, wakuu wote wenye mali, kila mtu shekeli hamsini za fedha, ili ampe huyo mfalme wa Ashuru. Basi mfalme wa Ashuru akarejea, wala hakukaa huko katika nchi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 15

Mtazamo 2 Fal. 15:20 katika mazingira