35 Ila mahali pa juu hapakuondolewa; watu walikuwa wakitoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu. Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:35 katika mazingira