2 Fal. 15:36 SUV

36 Basi mambo yote ya Yothamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?

Kusoma sura kamili 2 Fal. 15

Mtazamo 2 Fal. 15:36 katika mazingira