2 Fal. 16:10 SUV

10 Naye mfalme Ahazi akaenda Dameski ili aonane na Tiglath-pileseri mfalme wa Ashuru, akaiona ile madhabahu iliyokuwako Dameski. Mfalme Ahazi akamletea Uria kuhani namna yake ile madhabahu, na cheo chake, kama ilivyokuwa kazi yake yote.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:10 katika mazingira