2 Fal. 16:9 SUV

9 Na huyo mfalme wa Ashuru akamsikia; mfalme wa Ashuru akapanda juu ya Dameski, akautwaa, akawahamisha watu wake mateka mpaka Kiri, akamwua Resini.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:9 katika mazingira