2 Fal. 16:13 SUV

13 Akaiteketeza sadaka yake ya kuteketezwa, na sadaka yake ya unga, akamimina sadaka yake ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka zake za amani, juu ya madhabahu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:13 katika mazingira