2 Fal. 16:14 SUV

14 Na ile madhabahu ya shaba iliyokuwako mbele za BWANA, akaileta kutoka mbele ya nyumba, kutoka kati ya madhabahu yake mwenyewe na nyumba ya BWANA, akaiweka upande wa kaskazini wa madhabahu yake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 16

Mtazamo 2 Fal. 16:14 katika mazingira